Omba Kitambulisho cha Uanachama
URA SACCOS LTD — Huduma za wanachama mtandaoni
Jinsi Inavyofanya Kazi
Hatua rahisi nne kupata kitambulisho chako cha uanachama
1. Check Number
Thibitisha na Check Number yako (kama Employee ID)
2. Taarifa Zako
Chagua Mkoa, Wilaya na andika POST yako
3. Picha na Sahihi
Pakia picha ya passport size na sahihi yako
4. Fuatilia Ombi
Pata tracking number ya kufuatilia hatua za ombi lako
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Baada ya kukamilisha usajili na kitambulisho chako kuchapishwa (printed), kitawasilishwa kwenye Mkoa na Wilaya ulipo kupitia mwakilishi wa URA SACCOS.
Ingiza namba yako ya ufuatiliaji (tracking number) kwenye "Angalia Status":
- Pending — ombi bado halijapokelewa
- Received — ombi linafanyiwa kazi
- Printed — kitambulisho tayari kimechapishwa
- Rejected — ombi limekataliwa
Maombi hupitiwa na kubadilishwa hatua kwa hatua (pending, received, printed). Fuatilia kwa tracking number yako ili kuona maendeleo.
Angalia status ya ombi lako kwanza — huenda limekataliwa (rejected). Kama bado ni tatizo, wasiliana na Makao Makuu ya URA SACCOS.
Tumia tracking number yako kuangalia sababu ya kukataliwa kwenye "Angalia Status". Utaona maelezo ya nini cha kurekebisha, kisha unaweza kuwasiliana nasi kwa msaada zaidi.
Kupata huduma kwa haraka katika tawi lolote la URA SACCOS.
Onana na mwakilishi wa URA SACCOS kwenye himaya (eneo) ulipo, ukiwa na loss report na barua ya kuomba kitambulisho kipya.
Kila Check Number inaruhusiwa kuwasilisha ombi mara moja tu.